• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Morogoro District Council
Morogoro District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Afya
      • Maji
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Huduma za Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Maeneo ya Kihistoria

.

Imetolewa: December 2nd, 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro imeadhimisha  ya siku ya UKIMWI duniani katika kata ya Mvuha yalipo makao makuu ya Halmashauri iyo tarehe 01/12/2019 ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Bi Rehema Bwasi. .

Katika maadhimisho hayo huduma mbalimbali za kiafya ziliweza kutolewa ikiwemo elimu juu ya virusi vya ukimwi, upimaji wa hiari, uchangiaji wa damu salama, upimaji wa saratani ya shingo pamoja na huma ya upimaji wa mlango wa kizazi.

Jumla ya watu 112 walijitokeza kupima virusi vya ukimwi ambapo wanawake walikuwa 30 na wanaume walikuwa 82.

Katika maadhimisho hayo michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu, mpira wa netball, riadha, kukimbia kwenye magunia, kukimbiza kuku, burudani ya ngoma zizlizobeba ujumbe wa  ukimwi pamoja na maigizo na mashairi vilikuwepo.

Jamii ni chachu ya mabadiliko tuungane kupunguza maambukizi mapya

Matangazo

  • MWONGOZO WA ELIMU YA MPIGA KURA September 11, 2019
  • TANGAZO LA UCHAGUZI 2019 September 03, 2019
  • TANGAZO KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 07/02/2019 na 09/2/2019 January 31, 2019
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI December 14, 2017
  • Angalia zote

Habari za hivi karibuni

  • USAJILI WATOTO HALMASHAURI YA MOROGORO

    December 03, 2019
  • .

    December 02, 2019
  • .

    November 28, 2019
  • Wiki ya huduma za msaada wa kisheria

    October 23, 2019
  • Angalia zote

Video

Uunganishaji wa mimea
Vidio Zaidi

Kurasa za haraka

  • Sheria ya Manunuzi ya umma
  • Sheria ya Ardhi

Tovuti nyingine

  • Salary Slip Self Service
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani yake

Wasiliana nasi

    Mvuha Area, Mvuha - Magogoni Road

    Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania

    Simu: +255 23 261 3185

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.