Imetolewa: September 4th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro leo Septemba 4,2025 imezindua rasmi zoezi la chanjo na utambuzi wa mifugo, likiwa na lengo la kuboresha afya ya mifugo na kuongeza thamani ya uzalishaji kwa...
Imetolewa: August 26th, 2025
HAKIKA TUMEPAMBANA TUMETOLEWA HATUA YA FAINALI
Timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Riadha mbio za Kupokezana vijiti mita 400 ,na Riadha mita 200 Wanaume zimepambana na Kutolewa katika hatua ...