Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri anapenda kuwajulisha Wananchi na wadau wote wa ukulima wa miwa kuanza kujiandaa kwa ajili ya uwekezaji wa katika mashamba ya miwa kufuatia uwekezaji mkumbwa wa ujenzi wa kiwanda cha sukari katika Kata ya mkulazi unaoendelea, hivyo basi Mkurugenzi awapenda kuwashauri wadau wote kutembelea tovuti hii mara kwa mara ili kupata muendelezo wa taarifa za uwekezaji huu
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.