Halmshauri ya wilaya ya Morogoro ina mazingira mazuri yanayokubali kilimo cha mazao mengi na ya aina mbalimbali mazao ya biashara na chakula
mazao yanayolimwa hapa ni Mahindi,maharagwe,mihogo,viazi,Mpunga,karafuu,Iriki na Pilipili manga. Aidha katika Halmashauri hii kilimo kinategemea mvua na umwagiliaji kwa kuwa Halmashauri hii ina mito mingi.
Mvuha Area, Mvuha - Magogoni Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.