Halmashauri ya wilaya ya Morogoro ina utajili mkubwa wa madini kama dhahabu, Rubi, miamba ya chokaa, Miamba ya vigae, mawe meupe ya Tarazo na Rose Garment. Maeneo yanayopatikana na madini ni Mikese, Mkuyuni, Matombo, Tawa, Mtombozi, Singisa and Tununguo
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.