Kupata salary slip nenda kwenye link ya Tovuti Nyingine halafu bonyeza Salary Slip ili uweze kujisajili kwa kujaza taarif zako Muhimu. Vote Code ya Halmashauri ya Morogoro ni 79K1 sub vote inategemeana na idara uliyopo mfano kwa elimu msingi ni 5007, kama unahitaji msaada zaidi namna ya kujisajili ili kuweza kupata salary slip yako wasiliana na ofisi ya TEHAMA ili wakusaidie.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.