Ukiwa unatokea Morogoro mjini Panda mabasi yanayokwenda Mvuha yapo katika Stendi ya mabasi Msamvu nauli ni kati ya Shs 6,000/= na 8,000/=, au kama una usafiri binafsi endesha kuelekea mvuha njia ya kwenda kisaki umbali wa Kilometer 92 kutoka mjini
Mvuha Area, Mvuha - Magogoni Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.