Zoezi la kusafisha eneo limefanywa tarehe 27/10/2021
Ujenzi wa Msingi ulianza tarehe 6/11/2021
Kazi ya uchimbaji msingi imefanyika tarehe 3/11/2021
Zege la jamvi limemwagwa na kukamilika tarehe 17/11/2021
Hali ya mradi hadi kufikia tarehe 25/11/2021 mafundi wanapiga lipu nje.
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 4/12/2021 ambapo uezekaji bati unaendelea
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 13/12/2021 skimming imekamilika
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.