Uchimbaji wa msingi tarehe 7/11/2021
Kifusi kimejazwa tarehe 15/11/2021
Mawe yamepangwa tarehe 19/11/2021 hadi 23/11/2021 kwa ajili ya kumwaga zege la jamvi
Umwagaji wa zege la jamvi umekamilika tarehe 27/11/2021
Hali ya ujenzi wa mradi hadi kufikia tarehe 4/12/2021 ujenzi wa kuta umefikia hatua ya lenta
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.