Zoezi la uchimbaii msingi limeanza tarehe 30/10/2021
Zoezi la ujenzi wa msingi ulianza tarehe 01/11/2021 hadi tarehe 3/11/2021
Zoezi la ujazaji kifusi limefanywa tarehe 5/11/2021
Zoezi la upangaji mawe kwa ajli ya kumwaga zege la jamvi imefanywa tarehe 17/11/2021
Umwagaji wa zege la jamvi umefanyika tarehe 22/11/2021 kwa vyumba vinne vya madarasa
Ujenzi wa kuta umeanza tarehe 24/11/2021
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 27/11/2021
Hali ya ujenzi wa mradi hadi kufikia tarehe 2/12/2021 ambapo kozi za kuta juu ya lenta imekamilika
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 27/12/2021 umaliziaji wa skimming na tiles
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.