Msingi ulianza kuchimbwa tarehe 10/11/2021
Msingi ulianza kujengwa tarehe 20/11/2021 na kukamilika tarehe 22/11/2021
Zoezi la kujaza kifusi limekamilika tarehe 24/11/2021
Maandalizi ya kumwaga zege la jamvi tarehe 28/11/2021
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 5/12/2021 ujenzi wa kuta umefikia hatua ya lenta
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 27/12/2021
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.