Hali ya ujenzi wa mradi hadi kufikia tarehe 27/11/2021 ambapo box zimefungwa na usukaji wa nondo unaendelea kwa ajili ya zege la lenta
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe tarehe 2/12/2021 ambapo kozi mbili za juu ya lenta zinaend3elea kujengwa
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 13/12/2021 lipu na blundering imekamilika
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 27/12/2021 ambapo zoezi la skimming likiwa hatua za mwishoni
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.