Msingi umechimbwa tarehe 4/11/2021
Hali ya ujenzi wa msingi hadi kufikia tarehe 18/11/2021
Zoezi la kujaza kifusi limekamilika tarehe 19/11/2021
Hali ya ujenzi wa kuta hadi kufikia tarehe 21/11/2021
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 23/11/2021
Box kwa ajili ya kumwaga zege la lenta zimefungwa tarehe 25/11/2021
Maandalizi ya kumwaga zege la jamvi yanaendelea leo tarehe 27/11/2021
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 2/12/2021 ambapo ujenzi wa kuta za juu ya lenta zimekamilika
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 11/12/2021
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 27/12/2021 ambapo hatua iliyobaki ni upakaji rangi
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.