Msingi umechimbwa tarehe 1/11/2021
Msingi umejengwa tarehe 3/11/2021
Kifusi kimejazwa tarehe 10/11/2021
Mawe yamepangwa tarehe 13/11/2021 matayarisho ya kumwaga zege la jamvi
Nondo zimesukwa tarehe 18/11/2021 tayari kwa zege la jamvi
Zege la jamvi limemwagwa tarehe19/11/2021
Kuta zimeanza kujengwa tarehe 20/11/2021
Ujenzi wa kuta hadi kufikia tarehe 21/11/2021
Zege la lenta limemwagwa tarehe 23/11/2021
Hali ya ujenzi wa mradi wa wa madarasa hadi kufikia tarehe 28/11/2021
Hali ya ujenzi wa mradi hadi kufikia tarehe 2/12/2021 lipu inapigwa ndani
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 4/12/2021 lipu inaendelea kupigwa nje
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 13/12/2021 lipu imekamilika na madirisha yamepachikwa
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 27/12/2021 upakaji rangi unaendelea
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.