Kazi ya uchimbaji wa msingi imefanywa tarehe 4/11/2021
Ujenzi wa msingi umekamilika tarehe 12/11/2021
Ukuta umeanza kujengwa tarehe 19/11/2021
Hali ya ujenzi kufikia tarehe 20/11/2021
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 22/11/2021.
Box kwa ajili ya lenta imefungwa tarehe 23/11/2021
Zege la jamvi limemwagwa tarehe 27/11/2021
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 4/12/2021 mafundi wanaendelea kupiga lipu
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.