Zoezi la uchimbaji msingi tarehe 01/11/2021
Zoezi la ujazaji mawe kwenye msingi tarehe 03/11/2021
Zege la msingi limemwagwa tarehe 04/11/2021
Zoezi la kumwaga kifusi tarehe 06/11/2021
Zoezi la upangaji mawe na usukaji wa nondo kwa maandalizi ya zege la jamvi tarehe 08/11/2021
Umwagaji wa zege la jamvi umekamilika tarehe 11/11/2021
Ujenzi wa ukuta umeanza tarehe 12/11/2021
Ujenzi umefikia hatua ya lenta tarehe 14/11/2021
Zege la lenta limemwagwa tarehe 16/11/2021
Umwagiliaji maji kwenye zege la lenta tarehe 17/11/2021
Zoezi la umwagiliaji maji kwenye kuta unaendelea tarehe 19/11/2021
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 21/11/2021
Mbao tayari zipo eneo la ujenzi kwa ajili ya zoezi la kupaua tarehe 23/11/2021
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 23/11/2021, zoezi la kupaua limeanza
Hali ya ujenzi wa mradi hadi kufikia tarehe 27/11/2021 ambapo ujenzi wa gebo umekamilika tayari kwa kuezeka bati
Bati zimeezekwa tarehe 29/11/2021
Madirisha yamepachikwa tarehe 1/12/2021
Hali ya ujenzi wa mradi hadi kufikia tarehe 2/12/2021 upigaji wa lipu ndani unaendelea
Hali ya ujenzi wa mradi hadi kufikia tarehe 4/12/2021 ambapo upigaji lipu ukiwa kwenye hatua ya mwisho
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 13/12/2021 skimming inaendelea ndani
Hali ya ujenzi hadi kufikia tarehe 27/12/2021 ambapo jina la mradi limeandikwa (MRADI NA. 5441-TCRP)
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.