Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Mhe. Lucas J. Lemomo akiwa nyumbani (Masaki-Dar es salaam) kwa Hayati Edward N. Lowasa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uongozi wa awamu ya nne, akiiwakilisha Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro.
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wanatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na watanzania wotekwa msiba mzito uliotupata.
PUMZIKA KWA AMANI HAYATI EDWARD NGOYAI LOWASA
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.