Ufungaji wa Smart Board katika Shule za Sekondari zilizopo katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro mradi unaofadhiliwa na SEQUIP Tanzania. Hadi sasa Shule zilizofungwa Mbao Janja ni Shule ya Sekondari Kibuko, Shule ya Sekondari Kisaki Majimoto, Shule ya wasichana Morogoro.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.