Imetolewa: May 15th, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15 Mei, 2021 amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa pamoja na Watendaji wa Taasisi mbalimbali.
Katika uteuzi huo ...
Imetolewa: May 13th, 2021
Na. TAJIRI KIHEMBA, Moro Dc
Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro imefanya kikao chake cha Baraza la Madiwani cha Robo ya tatu tarehe 12 Mei, 2021 katika ukumbi wa Pangawe na kujadili mambo mbalimbali ...
Imetolewa: May 5th, 2021
TAJIRI KIHEMBA, Moro Dc
Kamati ya fedha,uongozi na mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro imefanya ziara yake ya kukagua miradi ikiwa ni ziara yake ya kukamilisha taarifa ya robo ya tatu kwa ...