Imetolewa: May 5th, 2021
TAJIRI KIHEMBA, Moro Dc
Kamati ya fedha,uongozi na mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro imefanya ziara yake ya kukagua miradi ikiwa ni ziara yake ya kukamilisha taarifa ya robo ya tatu kwa ...
Imetolewa: May 2nd, 2021
Na Tajiri Kihemba.
Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Emmanuel Kalobelo ambae ni Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kimkoa yaliyofanyika katika uwanja wa Jamh...
Imetolewa: April 27th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Bakari Msulwa alikuwa mgeni katika zoezi la ugawaji kadi za bima ya afya kwa kaya masikini na watoto wanaoishi katika mazingira magumu zilizotolewa na Kikundi cha wana...