Imetolewa: July 20th, 2018
Mwenge wa uhuru unatarajia kuweka jiwe la msingi katika Mradi wa ujenzi wa Bwalo la chakula shule ya Sekondari Nelson Mandela tarehe 24//7/2018 wakati utakapokuwa katika mbio zake wilayani hapa. Ikiwa...
Imetolewa: July 14th, 2018
Kampeni ya taifa ya usafi katika kuendelea kuhamasisha jamii kujenga na kutumia vyoo bora inatarajiwa kufika wilayani Morogoro tarehe 19/7/2018 ikiambatana na kundi kubwa la wasanii wakiongozwa na ...
Imetolewa: July 8th, 2018
Vijana katika kijiji cha Pangawe wamenufaika kutokana elimu ya ushonaji vya mradi wa vyerehani uliopo kjijini hapo. Mradi huo una lengo kuu la kuwajengea vijana uwezo wa ujiajiri kupitia mafunzo ya uf...