Imetolewa: October 7th, 2018
Serikali imesema kuwa mwaka wa fedha 2017/2018 jumla ya Sh bilioni 553.39 zimekusanywa kati ya Sh bilioni 687.31 ambazo ni sawa na asilimia 81 ya lengo ambalo halmashauri zote nchini ilijiwekea....
Imetolewa: October 10th, 2018
TANZANIA ni miongoni mwa nchi chache duniani ambayo ina fursa za kipekee ambazo zinaweza kuchochea utalii wa ikolojia kupitia ziwa Tanganyika na ziwa Nyasa. Maziwa hayo mawili yanatajwa kuwa na aina m...
Imetolewa: October 6th, 2018
Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania ametembelea eneo unapojengwa mradi mkubwa wa kufua umeme unaotokana na maporomoko ya maji ya Mto Rufiji maarufu kama Stiglers gorge.
Waziri Mkuu amete...