Imetolewa: October 24th, 2017
Ujumbe wa watu 20 wakiwemo viongozi na madiwani 12kutoka wilya ya Kaskazini B Unguja umewasili katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro katika ziara ya kimafunzo, ikiwa ni katika kuendeleza mashirikia...
Imetolewa: October 11th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk. Kebwe Stephen Kebwe amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro katika Tarafa ya Bwakila kata ya Bwakila na kijiji cha Bwakila Chini. Katika Mkutano wa H...
Imetolewa: September 28th, 2017
Baada ya shule ya sekondari Matombo kupata kibali cha kuwa na wanafunzi wa kidato cha tano. Maendeleo makubwa yamekuwepo kwa wanafunzi kuendelea kuripoti na kuendelea na masomo shuleni hapo. Shule hii...