• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Morogoro District Council
Morogoro District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Afya
      • Maji
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Utalii
    • Vivutio vya Utalii
      • Msitu wa Pangawe
      • Msitu wa Milawilila
      • Msitu wa Kimboza
      • Maji Moto-Kisaki
      • Kisimbi-Kinole
      • Utalii Matombo
    • Maeneo ya Kihistoria
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Huduma za Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Elimu Sekondari

Majukumu ya Idara ya Elimu Sekondari katika H/W Morogoro

  1. Kusimamia Sera ya na miongozo inayotolewa na Serikali kuhusu Elimu ya Sekondari ndani ya Wilaya
  2. Kusimamia ujenzi wa miundombinu ya shule ili yawepo mazingira rafiki ya kujifunzia kwa wanafunzi.
  3. Kumshauri Mkurugenzi wa Halmashauri kuhusu shughuli zote zinazohusu Idara ya Elimu ya Sekondari
  4. Kusimamia mitihani yote ya ndani na ile ya Taifa yaani Mitihani ya kidato cha II, IV na VI.
  5. Kusimamia, kuratibu na kufuatilia shughuli za ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari kama vile nyumba za walimu, madarasa, majengo ya utawala, maabara, mkataba na vyoo
  6. Kusimamia na kuratibu shughuli zote za Ukusanyaji, uchambuzi na kutafsiri takwimu za Idara ya Elimu Sekondari na kuzituma sehemu husika.
  7. Kusimamia na kuratibu shughuli za uandaaji wa taarifa na kuzituma kwa wadau mbalimbali wa Elimu ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa
  8. Kusimamia na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata taaluma kwa kiwango kilicho bora kwa mujibu wa Sera ya Elimu ya mwaka 1995 na 2014.
  9. Kusimamia na kuhakikisha nidhamu ya wanafunzi, walimu na watumishi wasio walimu inadumishwa shuleni
  10. Kusimamia na kuhakikisha fedha za Idara ya Elimu Sekondari zinatumika kwa kufuata kanuni, sheria, taratibu na miongozo ya fedha za Serekali za Mitaa
  11. Kuhakikisha vifaa vya kufundishia na kujifunzia vinapatikana katika shule za sekondari
  12. Kuhakikisha kuwa shule zote za Sekondari zina samani za kutosha kwa ajili ya walimu na wanafunzi
  13. Kuandaa ajenda na kuhudhuria vikao vyote halali vinavyohusu Idara ya Elimu Sekondari
  14. Kuandaa taarifa za utekelezaji za Idara ya Elimu sekondari za robo na mwaka na kuziwasilisha kwa wadau mbalimbali wa maendeleo kama vile Waheshimiwa Madiwani, Mkoa na Taifa
  15. Kuandaa makisio ya bajeti ya Idara ya Elimu ya Sekondari kila mwaka.
  16. Kupokea na kuwapangia vituo walimu na wafanyakazi wa idara wanaohamia au wanaoajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya. 
  17. Kutoa na kusimamia huduma ya Elimu katika shule zote za Sekondari ndani ya Halmashauri ya Wilaya.
  18. Kuratibu uendeshaji wa Mitihani yote ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya.
  19. Kusimamia Sera ya na miongozo inayotolewa na Serikali kuhusu Elimu ya Sekondari ndani ya Wilaya
  20. Kusimamia ujenzi wa miundombinu ya shule ili yawepo mazingira rafiki ya kujifunzia kwa wanafunzi

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • TANGAZO A UPANGA VYUMBA VYA OFISI NA MAENEO MBALIMBALI YALIYOPO MOROGORO MJINI March 19, 2025
  • TANGAZO LA KAZI YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU, DEREVA NA MTENDAJI WA KIJIJI July 15, 2024
  • TANGAZO LA RASIMU July 25, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi karibuni

  • KIONGOZI MBIO ZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA UTEKELEZAJI MIRADI ILIYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 12, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEEA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOROGORO,MAAGIZO YATOLEWA

    April 11, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA MOROGORO AENDELEZA KAMPENI YA JISOMESHE NA MKARAFU

    March 14, 2025
  • "BAINISHENI VYANZO VYA MAJI NA MVILINDE" MHE.KASSIM MAJALIWA MAJALIWA

    March 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Mfumo wa Mikopo ya 10% Namna ya Kujisajili
Vidio Zaidi

Kurasa za haraka

  • Sheria ya Manunuzi ya umma
  • Sheria ya Ardhi

Tovuti nyingine

  • Salary Slip Self Service
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani yake

Wasiliana nasi

    Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road

    Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania

    Simu: +255 23 2935458

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.