FURSA ZA UTALII MATOMBO
Katika Miamba ya Matombo kuna mawe yalioshikana mithiri ya Matiti yaMwanamke hujulikana kwa jina la Matombo.
Neno matombo asili yake matiti ya Mwanamke kwa lugha ya Kiluguru. Mapango haya yanafikika kwa urahisi na yanamandhari nzuri na pia sehemu nadhifu ya kupumzikia kwa ndani. Wakazi wa eneohilo hutumia mapango haya kwa shughuli za kimila.
Mvuha Area, Mvuha - Magogoni Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.