Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro inayo furaha kuwakalibisha wananchi na wadau wote kutembelea tovuti hii. Kupitia tovuti hii, utapata taarifa sahihi na za wakati kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri, ikiwemo:
-
Huduma za Elimu
-
Ushauri wa Kilimo na Ushirika
-
Huduma za Maji
-
Huduma za Afya
-
Ujenzi na Ukarabati wa Barabara
-
Maendeleo ya Jamii
Tunakukaribisha uendelee kufuatilia taarifa zetu ili kupata ufahamu mpana wa shughuli na huduma tunazotoa kwa maendeleo ya wananchi wa Wilaya ya Morogoro.