MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOROGORO ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA TAREHE 29/12/2018 siku ya Jumamosi na 31/12/2018 siku ya Jumatatu. KUTAFANYIKA KIKAO CHA KAWAIDA CHA BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOROGORO.
KIKAO KITAANZA SAA 4:00 ASUBUHI KWENYE UKUMBI WA COIKA ULIOPO KATIKA KIJIJI CHA PANGAWE.
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KUFIKA KATIKA KIKAO HICHO.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Postal Address: 1880, Morogoro Tanzania
Telephone: +255 23 2935458
Mobile:
Email: ded@morogorodc.go.tz
Copyright © 2017 Morogorodc. All rights reserved.