Mradi wa Maji Fulwe Tarafa ya Mikese kata ya Mikese
Ulianza kujengwa tarehe 1.8.2016. na kampuni ya Emirate & Aluminum Glass. Utahudumia kijiji kimoja cha Fulwe, kijiji cha Mtego wa Simba kunufaika pia
Ujazo wa Tank ni lita laki moja. (100,000)
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Postal Address: 1880, Morogoro Tanzania
Telephone: +255 23 2935458
Mobile:
Email: ded@morogorodc.go.tz
Copyright © 2017 Morogorodc. All rights reserved.