Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Morogoro anawatangazia wote wenye majina katika orodha iliyoambatanishwa kuripoti kazini baada ya kufaulu usaili uliofanyika tarehe 28/11/2017. Wanatakiwa kuripoti kazini kuanzia tarehe 18/12/2017 hadi tarehe 22/12/2017 Makao makuu ya Halmashauri yaliyopo Mvuha Morogoro.KUITWA KAZINI.pdf
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Postal Address: 1880, Morogoro Tanzania
Telephone: +255 23 2935458
Mobile:
Email: ded@morogorodc.go.tz
Copyright © 2017 Morogorodc. All rights reserved.