Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika,Wafanyakazi na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wameshiriki zoezi la usafi na upandaji miti katika Hospitali ya Wilaya ya Morogoro .
Kilele cha maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru kitafikiwa December 09, 2024 ambapo maadhimisho hayo yanaongozwa na kauli mbiu isemayo " Uongozi madhubuti na ushirikishwaji wa wananchi ni msingi wa maendeleo yetu".
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Postal Address: 1880, Morogoro Tanzania
Telephone: +255 23 2935458
Mobile:
Email: ded@morogorodc.go.tz
Copyright © 2017 Morogorodc. All rights reserved.