Kikao kazi ngazi ya Wilaya kilichofanyika katika ukumbi mdogo wa Halmashauri mapema Leo tarehe 5 Disemba 2024, ambapo kitengo cha Lishe kimetoa tathimini ya hali ya lishe ikionyesha kuna ongezeko la asilimia 7 kutoka asilimia 55 hadi asilimia 62 ya wanafunzi wanaopata chakula cha mchana kwa shule za msingi na sekondari za Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Postal Address: 1880, Morogoro Tanzania
Telephone: +255 23 2935458
Mobile:
Email: ded@morogorodc.go.tz
Copyright © 2017 Morogorodc. All rights reserved.