Halmashauri ya Morogoro inatarajiwa kuanza kutekeleza Mpango wa usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa bila ya malipo watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano katika mkakati wa Kitaifa utakaoanza tarehe 6/12/2019.
Shughuli hiyo inatarajiwa kuanza tarehe kwa makaimu maafisa waandikishaji kutoka katika kata zote 31 za Halmashauri na vituo tiba 70 vilivyopo katika Halmashauri ya Morogoro kupatiwa mafunzo wezeshi pamoja na vifaa vitakavyowasaidia katika utekelezaji wa kazi hiyo.
Zoezi zima la usajili linafanyika chini ya usimamizi wa RITA kupitia uadhili wa UNICEF
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Postal Address: 1880, Morogoro Tanzania
Telephone: +255 23 2935458
Mobile:
Email: ded@morogorodc.go.tz
Copyright © 2017 Morogorodc. All rights reserved.