MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOROGORO ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA TAREHE 08/02/2019 siku ya Ijumaa na 09/02/2019 siku ya Jumamosi. KUTAFANYIKA KIKAO CHA KAWAIDA CHA BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOROGORO PAMOJA NA KIKAO CHA KUPITIA BAJETI.
KIKAO KITAANZA SAA 4:00 ASUBUHI KWENYE UKUMBI WA COIKA ULIOPO KATIKA KIJIJI CHA PANGAWE.
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KUFIKA KATIKA KIKAO HICHO.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.