UTALII KATIKA MAPOROMOKO YA MAJI KISIMBI KINOLE
Mahali yalipo:
Maporoko ya maji Kisimbi yapo kijiji cha Tandai kata ya Kinoleumbali wa kilomita 54 toka Morogoro mjini kama yanavyoonekena katikapicha hapa chini:
Maporomoko ya Kinole
Shughuli kuu:
Kupiga picha, kuoga, kufanya utafiti na kufurahia mandhari nzuri ya maporomoko ya maji ya Kisimbi. Eneo linafikika kwa miguu ikiwa ni njia mojawapo ya kufanya mazoezi na kuboresha afya.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.