Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wanapaswa kuweka kando vipaumbele na matakwa yao binafsi ili kuwatumikia wananchi.
Halmashauri inaamini katika Ushirikishwaji wa wananchi katika miradi mbalimbali ya kujiletea maendeleo
Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro inaamini katika kufanya kazi kwa pamoja kati ya wataalamu na wah. Madiwani katika kufikia malengo iliojiwekea na kuongeza ufanisi.
Watumishi wa Halmashauri wanapaswa kutekeleza kwa vitendo matakwa ya Sera ya Ajira na Menejimenti katika Utumishi wa Umma ya 1999 inayowataka