Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro inapenda kuwataarifu wananchi na wawekezaji kuhusu Mradi wa Viwanja vya Kisaki, mradi wenye fursa mbalimbali za uwekezaji na makazi katika mji unaokua kwa kasi wa Kisaki.
Mradi upo katika Mji wa Kisaki, ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro.
Upo karibu na Bwawa la Nyerere (JNHPP) na Hifadhi za Taifa za Nyerere na Mikumi, hivyo kufaa kwa uwekezaji wa utalii na huduma.
Unafikika kirahisi kupitia:
Barabara ya Bigwa – Kisaki
Reli ya TAZARA
Uwanja mdogo wa ndege wa Matambwe
Mradi unatoa viwanja vya matumizi tofauti ikiwemo:
Camp Sites
Big Hotel Sites (Drive-in)
Institutions
Office Blocks
Housing Estates
Commercial Areas
Commercial/Residential
Residential
Kwa mawasiliano zaidi, kupata maelezo ya kina au kutembelea eneo la mradi, tafadhali wasiliana na ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.