Madiwani na Wataalam kutoka Halmashauri ya Wilaya ya kusini unguja wamefanya Ziara ya kujifunza masuala ya uwekezaji, kilimo, ujasiliamali na uhifadhi wa Mazingira Katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro.
Ziara hiyo ni muendelezo wa ushirikiano wa kimkataba uliodumu takribani miaka nane kati ya Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro na Halmashauri ya Wilaya ya kusini unguja.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.