• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Morogoro District Council
Morogoro District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Afya
      • Maji
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Utalii
    • Vivutio vya Utalii
      • Msitu wa Pangawe
      • Msitu wa Milawilila
      • Msitu wa Kimboza
      • Maji Moto-Kisaki
      • Kisimbi-Kinole
      • Utalii Matombo
    • Maeneo ya Kihistoria
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Huduma za Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Kilimo Umwagiliaji na Ushirika

IDARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA

 

 


WATUMISHI, VITENGO NA HUDUMA ZITOLEWAZO

  • WATUMISHI

Idara ina watumishi  96 katika ngazi ya Wilaya, Kata na Vijiji katika fani zifuatazo

  • Umwagiliaji……………5

  • Mazao……………….. 84

  • Ushirika………………..2

  • Lishe …………………..2

  • Zana……………………4

  • Jumla …………………97

 

  • VITENGO

Idara hii ina jumla ya vitengo vitatu(3)

  • Kitengo cha Mazao

  • Kitengo cha Umwagiliaji

  • Kitengo cha Ushirika

  • Kitengo kidogo cha Mazao ya Bustani(Horticulture)

  • Kitengo kidogo cha huduma za ugani(Extension services)

  • Kitengo kidogo cha Lishe(Nutrition)

  • Kitengo kidogo cha Mazao ya Chakula na Biashara

  • Kitengo kidogo cha Pembejeo za kilimo

  • Kitengo kidogo cha zana za kilimo

  • Huduma zinazotolewa na Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika

  • Kitengo cha  mazao ya Bustani

  • Kitengo hiki hushughulika na kutoaji wa  huduma zifuatazo

  • Kusimamia uzalishaji wa mazao ya bustani kwa kutoa mafunzo kwa wakulima yanayohusu kanuni bora za kilimo

  • Kuanzisha na kusimamia vikundi vya uzalishaji wa mazao ya butani Wilayani

  • Kuwaunganisha wazalishaji wa mazao ya bustani na taasisi zinazojihusisha na uendelezaji wa mazao ya bustani

  • Kuzisaidia taasisi za kisserikali na zisizo za kiserikali katika kutekeza shughuli mbali mbali za uendelezaji wa mazao ya bustani

  • Kitengo cha Pembejeo

  • Kitengo hiki kinatoa huduma zifuatazo-;

  • Kupanga na kusimamia bei elekezi ya Pembejeo

  • Kutoa mafunzo juu ya matumizi bora ya Pembejeo za kilimo

  • Kushughulikia maombi ya vibali vya wafanyabiashara ya Pembejeo Wilayani

  • Kusimamia vikundi  vya uzalishaji mbegu

  • Kusimamia ubora wa mbegu na mbolea

  • Kitengo kidogo cha huduma za ugani

  • Kitengo hiki kinashughulikia mambo yafuatayo-;

  • Kutambua mahitaji ya mafunzo kwa wakulima na wataalam wa kilimo, umwagiliaji na Ushirika

  • Kusimamia na kutoa mafunzo kwa wakulima na wataalam wa kilimo, umwagiliaji na Ushirika

  • Kuratibu, kusimammia na kuratibu mwenendo wa utoaji wa huduma za kilimo kwa wataalam

  • Kitengo kidogo cha Zana za kilimo

  •  

  • Shughuli na huduma zitolewazo na kitengo hiki ni pamoja na-;

  • Kusimamia upatikanaji wa zana bora za kilimo

  • Kusimamia usambazaji wa zana za kilimo kwa wakulima ili ziwafikie kwa wakati

  • Kuwaunganisha wakulima na Taasisi mbalimbali zinazojihusisha na zana za kilimo ikiwemo taasisi zinazotoa mikopo

  • Kutoa mafunzo mbalimbali yanayohusu matumizi bora ya zana za kilimo kwa wakulima


  • Kitengo kidogo cha Lishe

  • Kitengo hiki kinafanya shughuli na kutoa huduma zifuatazo;-

  • Kutoa mafunzo ya ujumla kuhusu lishe kwa wataalam wa ugani katika Kata na Vijiji

  • Kutoa mafunzo ya nadharia na vitendo kuhusu uandaaji wa mlo kamili kutokana na makundi ya vyakula mchanganyiko yanayopatikana katika jamii

  • Kutoa mafunzo kwa maafisa ugani wa kata na vijiji kwa nadaharia na vitendo jinsi ya kutambua hali ya lishe ya jamii

  • Kutoa mafunzo juu ya usafi na usalama wa chakula na maji

  • Kuhimiza familia kuzingatia unyonyeshaji sahihi wa maziwa ya mama, utayarishaji na ulishaji wa vyakula vya nyongeza

  • Kitengo kidogo cha Mazao chakula na Biashara

  • Kitengo kinajihusisha na shughuli zifuatazo;-

  • Mafunzo na ushauri kwa wakulima juu ya kanuni bora za kilimo cha mazao mbalimbali

  • Mafunzo na ushauri juu matumizi sahihi ya pembejeo za kilimo ikiwa ni pamoja na mbegu bora, mbolea, viuatilifu, na zana za kilimo.

  • Ushauri juu ya udhibiti wa visumbufu vya mazao kama vile wadudu, magonjwa na magugu.

  • Ufufuaji na uendelezaji wa mazao ya kimkakati kama vile Korosho, Pamba na Kahawa

  • Kufanya tafiti za mazao mbalimbali kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya kilimo kama vile ASA, KATRIN, TOSCI, TAHA, TACRI, SUA na CAU katika kupata aina za mbegu bora za mazao.

  • Kupima udongo ili kubaini virutubisho vilivyopo kwenye udongo na kutoa mapendekezo ya matumizi sahihi ya mbolea na aina za mazao yanayostahili kulimwa katika maeneo husika

  • Kitengo cha Umwagiliaji

  • Kitengo hiki kinatekeza shughuli zifuatazo

  • Kusimamia uendelezaji wa miundombinu ya umwagiliaji katika Halmashauri

  • Kutoa mafunzo juu matumizi bora ya miundombinu ya umwagiliji na matumizi bora ya ardhi

  • Kitengo cha Ushirika

  • Shughuli na huduma zitolewazo na kitengo hiki ni pamoja na-;

  • Kufuatilia nakusimamia vyama vya ushirka

  • Kuanzisha vya ushirika Wilayani





Kilimo bora cha mpunga katika vijiji vya Kiroka, Mbalangwe na Mtamba

Matangazo

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 18, 2020
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 KATIKA SHULE ZA SEKONDARI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOROGORO December 15, 2020
  • Huduma za Halmashauri sasa kupatikana Mvuha August 31, 2018
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI December 14, 2017
  • Angalia zote

Habari za hivi karibuni

  • MWENYEKITI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOROGORO AWATAKA MADIWANI KUFANYA KAZI KWA MAADILI KULETA MAENDELEO

    January 02, 2021
  • .

    January 29, 2021
  • Mkurugenzi Halmashauri ya Morogoro awaasa walimu wapya walioripoti katika Halmashauri ya Morogoro

    December 04, 2020
  • Benki ya CRDB yafanya ziara ya Upendo Halmashauri ya Morogoro katika Kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja

    October 13, 2020
  • Angalia zote

Video

Uunganishaji wa mimea
Vidio Zaidi

Kurasa za haraka

  • Sheria ya Manunuzi ya umma
  • Sheria ya Ardhi

Tovuti nyingine

  • Salary Slip Self Service
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani yake

Wasiliana nasi

    Mvuha Area, Mvuha - Magogoni Road

    Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania

    Simu: +255 23 2935458

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.