• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Morogoro District Council
Morogoro District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Afya
      • Maji
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Utalii
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Kihistoria
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Huduma za Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Maeneo ya Kihistoria

MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI YA WILAYA MOROGORO KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020

10 January 2019

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAISI TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA WILAYA MOROGORO

  

MAANDALIZI YA MPANGO NA  BAJETI YA HALMASHAURI YA WILAYA MOROGORO KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020

 

 

 

Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro inaendelea na maandalizi ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2019/2020. Kazi hii inafanywa na sekta zote ambapo kuna Idara 12 (Utumishi na Utawala, Fedha za Biashara, Mipango Takwimu na Ufuatiliaji, Elimu Msingi, Elimu Sekondari, Afya, Kilimo Umwagiliaji na Ushirika, Maendeleo ya Jamii, Mifugo na Uvuvi, Usafi na Mazingira  na Ardhi na Maliasili) na Vitengo  6 (Nyuki, Manunuzi, Mkaguzi wa Ndani, Tehama, Sheria na Uchaguzi). Aidha Idara ya Maji haikuhusishwa katika maandalizi ya Bajeti hii kulingana na maelekezo kwamba Bajeti yake itaandaliwa na kuwasilishwa Wizara ya Maji.

 

Maandalizi haya yanafanyika kwa kuzingangatia mwongozo wa bajeti wa mwaka 2019/2020, Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (2015-2020), Mpango wa Taifa wa Miaka Mitano, Mpango wa Taifa wa Maendeleo Endelevu, Miongozo mbalimbali ya Kisekta pamoja na Vipaumbele vya Wananchi.

 

Katika Bajeti hii, Halmashauri imepanga kukusanya na kutumia Jumla ya Tsh. 42,625,824,024.50 ambapo kati ya kiasi hicho, Kiasi cha Tshs. 2,201,584,000.00 kitakusanywa kutoka Vyanzo vya ndani sawa na asilimia 5.2 ya Bajeti iliyopangwa.

 

Mchanganuo ni kama ilivyoainishwa kwenye jedwali lifuatalo:

 
NA.
CHANZO CHA FEDHA
                   KIASI 
1
Mapato ya Ndani
2,201,584,000.00          
2
Matumizi ya kawaida
2,037,091,850.00          
3
Mishahahara
34,240,386,734.00        
4
Miradi ya maendeleo
4,146,761,440.50
 
JUMLA KUU
42,625,824,024.50         
 

Aidha Halmashauri inaendelea kuboresha wigo wa Bajeti iliyotolewa kadiri itakavyoendelea kupata maelekezo toka ngazi za juu hasa kupitia Wizara mama TAMISEMI.

 



Matangazo

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 18, 2020
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 KATIKA SHULE ZA SEKONDARI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOROGORO December 15, 2020
  • Huduma za Halmashauri sasa kupatikana Mvuha August 31, 2018
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI December 14, 2017
  • Angalia zote

Habari za hivi karibuni

  • Mkurugenzi Halmashauri ya Morogoro awaasa walimu wapya walioripoti katika Halmashauri ya Morogoro

    December 04, 2020
  • Benki ya CRDB yafanya ziara ya Upendo Halmashauri ya Morogoro katika Kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja

    October 13, 2020
  • Benki ya CRDB yafanya ziara ya Upendo Halmashauri ya Morogoro katika Kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja

    October 13, 2020
  • Benki ya CRDB yafanya ziara ya Upendo Halmashauri ya Morogoro katika Kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja

    October 13, 2020
  • Angalia zote

Video

Uunganishaji wa mimea
Vidio Zaidi

Kurasa za haraka

  • Sheria ya Manunuzi ya umma
  • Sheria ya Ardhi

Tovuti nyingine

  • Salary Slip Self Service
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Taifa
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani yake

Wasiliana nasi

    Mvuha Area, Mvuha - Magogoni Road

    Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania

    Simu: +255 23 2935458

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.