Katika Halmashauri ya Morogoro kuna badhii ya viwanda ambavyo uongeza thamani ya mazao ghafi kwa kuyachakata na kuyaongezea ubora, viwanda hivyo ni kwa mazao ya Tumbaku (Alliance One Tobbacco), Matunda (Kiroka) and Nyanya (Usindikaji wa Nyaya Mikese)
Mvuha Area, Mvuha - Magogoni Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.