Fika ofisi ya Halmashauri makao makuu au piga simu 0655 520837 au 0712 694586 na uunganishwe na Afisa biashara wa Wilaya, Aidha utatakiwa kujaza fomu maalumu ya maombi kwa ajili ya utambulisho wa kwenda TRA ili kupata namba ya mlipa kodi (TIN). Baada ya kupata TIN unarudi Makao makuu ya Halmashsuri kwa ajili ya kufanya malipo na kuandikiwa leseni yako kutokanan na aina ya biashara yako.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.