Kampeni ya taifa ya usafi katika kuendelea kuhamasisha jamii kujenga na kutumia vyoo bora inatarajiwa kufika wilayani Morogoro tarehe 19/7/2018 ikiambatana na kundi kubwa la wasanii wakiongozwa na msanii Mrisho Mpoto
Kampeni hiyo yenye kauli mbiu ‘usichukulie poa nyumba ni choo’ inatarajiwa kupita katika vijiji mbalimbali wilayani hapa ili kuhamasisha ujenzi na matumizi ya vyoo bora.
Viongozi mbalimbali wilayani hapa wamehamasishwa kushiriki kikamilifu katika kampeni hii ili iweze kufikia malengo yanayotarajiwa.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.