Ujumbe wa watu 20 wakiwemo viongozi na madiwani 12kutoka wilya ya Kaskazini B Unguja umewasili katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro katika ziara ya kimafunzo, ikiwa ni katika kuendeleza mashirikiano yaliyopo bina ya halmashauri hizo mbili.
Ujumbe huo uliongozwa na mkuu wa wilaya ya Kaskazini B ndugu Issa Juma Ally Unatarajiwa kuzuri maeneo mbalimbali katika Halmashauri ikiwemo Sacos ya Kinole, wakulima wadogowadogo wa viungo Kinole, miradi a O&OD eneo la Mvuha, Machinjio ya Kisasa eneo la Bigwa pamoja na kutembelea Hifadhi ya wanyama ya Selou.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.