Zikiwa zimebaki siku 2 tu kuzinduliwa zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari la mpiga kura kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, kitaifa zoezi hili litafanyika kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hasan.
Mwananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Morogoro tumuunge mkono mh. raisi kwa kujitokeza kwa wingi katika vitongoji vyetu kujiandikisha ili kupata tiketi ya uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27, Novemba 2024.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.