Madiwani wa Halmashauri ya Morogoro wamepatiwa mafunzo juu ya maadili ya uongozi wa umma ili kuwajengea uwezo viongozi hao katika Nyanja ya uongozi na utawala bora ili kukuza demokrasia hapa nchini.
Mafunzo hayo yalitolewa siku ya Jumatano tarehe 26/07/2017 katika Ukumbi wa Mikutano Kijiji cha Pangawe katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro na mtoa mada ndugu Hilary B. Sagara Afisa Tawala Mkuu, Menejimenti ya Serikali za Mitaa, Sekretarieti ya Mkoa wa Morogoro.
Mvuha Area, Mvuha - Magogoni Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.