Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro imetoa Mafunzo ya utiaji Saini mikataba ya mikopo kwa vikundi vya Wanawake Vijana na Walemavu 11-12-2024.
Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo vikundi vilivyo pewa mikopo kwenye eneo la ujasiliamali na uwekaji wa Akiba Ili kuweza kurejesha Fedha hiyo Kwa wakati.
mikataba hiyo itajumuisha masharti na utaratibu wa kupokea na kurejesha mikopo ya Wawanake awanake Vijana na watu wenye ulemavu
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.