Shule sekondari ya Matombo iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Tarafa ya Matombo kata ya Konde mkoani Morogoro imekuwa shule ya kwanza kuwa na kidato cha tano katika Halmashauri hii.
Shule hiyo inatarajiwa kupokea wanafunzi 60 wa michepuo ya HGK NA HGL ambao wanatarajia kuanza masomo yao hivi karibuni.
Shule hiyo inaowalimu wa kutosha na wenye uzoefu mkubwa wenye sifa za kutosha katika nyanja za ufundishaji, vilevile shule inayo madarasa ya kutosha na miundombinu yote ipo vizuri.
Mvuha Area, Mvuha - Magogoni Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.