Mkutano wa Halmashauri kuu ya wilaya wa Chama cha Mapinduzi Umefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano hapa Mvuha ambapo umejadili Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Serikali ya CCM ya miaka Mitatu inayoingozwa na Mhe Raisi Dr John Joseph Pombe Magufuli .
Mkutano huo ulifanyika Makao ya halmashauri ya Morogoro Mvua Tarehe 02 Feb 2019 Katika Kuazimisha Sherehe za kuzaliwa CCM ya miaka 42.
Mvuha Area, Mvuha - Magogoni Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.