.
Madiwani wa Halmashauri ya Morogoro wamepatisha hesabu za mwisho za Halmashauri hiyo katika kiao maalum cha baraza la madiwani kilichofanyika tarehe 23/09/2018 katika ukumbi wa Coika Pangawe mjini hapa. Madiwani hao walipisha hesabu hizo baada ya kuzipitia na kujiridhisha pamoja na kuhoji maeneo mbalimbali waliyohitaji ufafanuzi.
Katika kikao hicho cha hapo jana Mhe.Singilinda S. Ngwega viti maalum Mvuha aliapishwa rasmi kuwa diwani katika Halmashauri hiyo akichukua nafasi ya Mhe. Zuhura Mfaume aliyefariki dunia.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.