KITUO cha Afya Duthumi na Ngerengere vilivyopo katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro vimepongezwa kwa jitihada zake katika kudumisha afya ya mama na Mtoto.
Pongezi hizo zilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Bi Regina Chonjo katika maadhimisho ya siku ya wakunga duniani yaliyofanyika Kiwilaya katika kituo cha afya Ngerengere wilayani hapa.
Katika maadhimisho haya mkuu wa wilaya alikuwa ni mgeni rasmi na alikabidhi tuzo kwa vituo hivyo tuzo. Tuzo hizo hutolewa na chama cha wakunga Tanzania.
Mvuha Area, 450M- Bigwa-Kisaki Road
Sanduku la barua: 1880, Morogoro Tanzania
Simu: +255 23 2935458
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@morogorodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa.